Solace Sanya ni msanii mpya wa kike katika ramani ya muziki wa Tanzania.Kwa mara ya kwanza alisikika katika CHORUS ya wimbo wa YOUNG RAFA "Asante Mwanza". Ana sauti nzuri na style yenye mvuto katika RnB
AUDIO: SOLACE SANYA_COMING HOME TONIGHT_PROD BY MNYAMBUDU
Tag: MUSIC
No comments: