PIDOTZ INTERTAINMENT NA WAKUBWA WA JIJI WANA KULETEA SHOW By: Unknown on 5:15:00 PM / comment : 0 wanakuletea bonge la show itakayo fanyika viwanja vya shule ya msingi BUHONGWA siku ya JUMAPILI TAREHE 28 /9/2014 kuanzia saa tisa kamili (9:00) arasili mpaka saa kumi na mbili (12:00) jioni wasanii watakao kuwepo ni PIDOTZ, ABUU MKALI (ASELA) WAKUBWA WA JIJI , ELEMENT ,MIRROE RYMES ,STREET DANCES MATELIAL na wengine kibao toka jiji la WASAFI (MWANZA) kwa kingilio cha WAKUBWA TSH 2000/= WATOTO TSH 1000/= Tag: Share !
No comments: