Diamond amjibu Msanii wa Iringa Meda aliyemuandikia Barua kwenye wimbo wake na majibu yake ni haya,,,,,,,
Jamaa anajulikana kama Meda ni Msanii mpya anayekuja na wimbo wake wa
barua kwa Diamond na baada ya diamond kusikiliza hiki ndicho
alichokipost kupitia ukurasa wake wa instagram
"Kiukweli
simfahamu... Sijawai hata kumuona, Wala kuzungumza nae.....na sio
kwasababu Eti kaniimba mimi, hapana!... ila ni userious na uzuri wa kazi
aliyoifanya ndio vimenifanya nione ni vizuri kumleta kwenu hapa wadau
ili kwa pamoja tumsupport naye kesho na keshokutwa afikie malengo ya
kazi yake na kuwa Balozi mzuri wa nchi yetu kupitia Bongo flavour..Huyu
hapa! Anaitwa MEDA kutoka IRINGA
No comments: