By: kallboy music
on 9:14:00 AM
/
LAU WA JOHN...
Kinara
*Verse*,,1
Hata Nikimsalimia yee hataki Salamuuu!!!!
Kumpa Upendo Pia anasema hana hamu!!!!
Naogopa kuwa kunguru kwenye mapenzi ya pesa
Bora tu kifungo huru anigeuze bakhlesa!!!
(Na lile donda donda langu alija ponaaa
Ukifika nenda kamwambie ukimuonaa )×2
*bridge*
We kinaraaa...we kinaraaa...we kinara oohooo we kinara.
*Corac*,,1
(Nenda Ukamwambieee ehee... jani languuuuu uhuu...
Limekauka laitaji majii ihiii...)×2
*Verse*,,2
(Kama nimemkela Naitaji msamaaah!!!!
Ye ndio wangu mpera namchuma kwa tamaaah!!!)×2
Na ule upendoo Nilio mpaaa
Kama ni mdogo nitawongezeaaaaa!!!!
Ye ndio chombo mtunza majiii
Aje amwagilie jani languuuu!!!!
(Nataka mapendo
mapendo na wewe,,,,,Sitaki marumbano
Marumba na wewe,,,,)×2
*Bridge*
We kinara,,,,,we kinaraaa,,,we kinara ohooo we kinaraaaaaa.
*Corse*
Nenda ukamwambieeeee
Jani languu limekauka laitaji maji..........×4
Tag:
DOWNLOAD
MUSIC
TANZANIA SONG
WORLD MUSIC
KALLYBOY MUSIC's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: