Slider

BRAND VIDEOS

LAKEZONE MUSIC

WORLD MUSIC

TANZANIA SONG

HOT MIC TV SHOW

GOSPEL

MUSIC

» » » » » » EKA X CHOPA MC X JIZZE MC - KIPI HUJAJUA (AUDIO) | DOWNLOAD


''Kipi Hujajua?'' ni wimbo wa kwanza kutoka katika kampeni inayokwenda kwa jina la ZINGATIA ITIFAKI chini ya DOHU RECORDS Mwanza ikiwahusisha Eka, Chopa Mc na Jizze MC, kimsingi kumekuwa na mtazamo ambao ni changamoto dhidi ya muziki wa
RAP – HIP HOP kutokana na mabadiliko ya kimaisha na ladha za biashara zinazoendelea kubamba katika tasnia ya muziki.
ZINGATIA ITIFAKI ni kampeni inayolenga kuleta msukumo wa muziki wa RAP – HIP HOP kwa mitindo ya kughani na midundo ambayo jamii imeikosa kwa muda mrefu, ambayo DJs wanaikosa katika playlist zao ambayo Presenters wanaikosa katika stori zao.
Karibu uisikilize KIPI HUJASIKIA kutoka Dohu Records chini ya mtayarishaji Hamisi Kamanda pia kaa tayari kuipata kanda mseto (MIX TAPE) ya ZINGATIA ITIFAKI mwezi ujao.

*******************************************************************



____________________ ZINGATIA ITIFAKI________________

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post