
Young Rafa ni moja ya wasanii wakali wa hiphop mwenye umri mdogo na uwezo mkubwa wa kuandika na style kali ya kurap. Katika ngoma hii naongelea muziki ulikotoka, alipoukuta na ulipo sasa. Katika verse ya pili amemdis rapa mwenzie toka Mwanza Young Killer na kumchana kuwa asijiite rapa best coz kuna wakali zaidi yake.
No comments: