Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania anayefahamika kwa jina la Joh Makini afunguka kuhusu kauli ya nisher inayolalamikia wasaniikufanya kazi zaidi nje ya nchi kuliko nyumbani Tanzania.
akizungumzia kwa undani suala hilo,
kwenye exclusive interview ya Ngoma Time ndani ya Radio SAUT FM 96.1
MHz, Joh Makini amefafanua kuwa muziki hauna mipaka, kuvuka boda ni
kutokana na kutafuta utofauti
"asa unajua suala la production ni talent hata wakati mwingine sio
vyombo coz hata nyumbani camera zipo kibao; ila penginemtu anataka
Director (Muongozaji) wa tofauti. Mfano mimi nikitaka kufanya kazi na
Hyper williams, ukinishangaa nakushangaa Pia" aongezea Joh Makini.






No comments: