Msanii Rihanna aliyewahi kutajwa na mtandao wa FHM pamoja na
jarida la Espquire mwaka 2011 kuwa mwanamke mwenye mvuto zaidi duniani
Hatimaye Rihanna amemtaja mwanaume mwenye mvuto zaidi duniani ambaye
ni mwigizaji Vince Vaughn.
Rihanna aliyewahi kuwa na mahusiano na msanii Drake pamoja na
Chriss Brown amemtaja mwigizaji huyo
kuwa mwenye mvuto kuliko wanaume wote
duniani hivi karibuni wakati akifanya mahojiano na Elle






No comments: