Hatimaye msanii wa
muziki wa kizazi
kipya nchini Nay
wamitego afunguka kuhusiana
na kichupa cha MR .NEY kilichoachiwa hivikaribuni baada ya kufanya na director
Kervin Bosco kutoka Kenya
Akizungumza
na Radio Saut fm. Nay amesema kuwa Mr.nay ni video ambayo haijampa usumbufu
kila sehemu atakapoipeleka imekuwa
ikipokelewa vizuri na mpaka hivi sasa
tayari imesha chezwa Channel O na MTV .
Nay
ameongeza kuwa sababu ilimfanya akafanya kazi na director Kervin Bosco kutoka
kenya ni connection.Kwani kama ni location hata nyumbani zipo tena nzuri lakini
kinachokosekana kwa madirector wa hapa nyumbani ni connection






No comments: