Baada ya
audio kuweza kufanya vizuri katika Radio station mbalimbali nchini hatimaye
Mirror kuja na kichupa cha kolokolo anachofanya na director Major

Akizungumza
na Radio saut fm. Kwa njia ya simu jana asubuhi Mirror amesema kuwa kwahivisasa
wapo location kwaajili ya kushoot kichupa hicho chini ya director Major na
wanataraji kukamilisha zoezi hilo wiki ijayo
Aidha Mirror
amewataka mashabiki wake wategeme kitu kizuri kutok katika video yake mpya ya
kolokolo . “ by the next week nitakuwa
nimeshamaliza nitawaambia tuu ma fans wangu lini inatoka lakini is a nice video is a big video
“ alisema Mirror …..
Mirror
ameongeza kuwa baada ya kushoot kolokolo atakuwa na zoezi jingine la kushoot
project aliyofanya na Jose Chamilion kutoka Uganda , “ kuna project natakiwa
nifanye na Diamond ipo kwa Tudd Tomas bado haijaisha , project nyingine
nimefanya na Ally nafikiri nitakaa nifikirie ni collabo gani ninaweza nikato
sababu nimeshafanya solo “ alisema Mirror …
No comments: