Zikiwa
zimepita siku chache toka aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Tanzania mwaka jana
Ratifa Mohamed kumtaja Ben poul ndio mwanaume wa maisha yake

Hatimaye
kupitia News 360 ya Saut fm. Juzi Ben amefunguka na kusema kuwa bado hajawa
tayari juu ya swala hilo la kimahusiano baina yake na bi dada huyo

No comments: