Baada ya filamu ya School Dance kuweza kufanya vizuri katika soko , hatimaye Amber Rose kupata
shavu la kusimamiwa na kampuni ya NCredible Entertainmant chini ya manager Nick Cannon


Taarifa
zimesema kuwa Nick alivutiwa na Amber baada ya filamu ya School Dance
kutoka,na video ya kwanza ambayo atafanya akiwa chini ya NCredible
Entertainmant ni video ya vixen/model Amber Rose.
Hatahivyo Amber amepata shavu jingine na kipindi cha tv cha ABC pilot.
No comments: