Slider

BRAND VIDEOS

LAKEZONE MUSIC

WORLD MUSIC

TANZANIA SONG

HOT MIC TV SHOW

GOSPEL

MUSIC

» » » (Music) Stereo Heroes – Watuliza

“Stereo Heroes ni kikundi cha wasanii wawili kutoka Kenya waliobarikiwa kwa kipaji bab’ kubwa katika sanaa ya uimbaji. Pengine sio mara yako ya kwanza kusikia jina hili kwani walikwangushia vibao moto moto ‘Paradise’ na ‘Let us Party’. Wamebisha tena kwa kishindo na kuwaangushia single noma ‘Watuliza’ ambayo hapana shaka ukiisikiliza utaicheza tena na tena. Stereo Heroes si limbukeni katika ulingo huu kwani wamekuwa kwenye fani tangu mwaka wa 2012. Wameapa kuwa maadamu mziki ndio mwito wao basi hawatakoma kukuburudisha, kukutumbuiza na kuwatia wengi tumbo joto kwani msanii, ni kioo cha jamii. Skiza ‘Watuliza’ hapa https://www.youtube.com/watch?v=5Mp-gsKmN8M. Video ya huo wimbo itatayarishwa na itatoka mwezi ujao.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply